Sambaza Bidhaa Zetu
Pata mapato ya ziada
Ongeza kipato chako kwa kuwa msambazaji wa mwani, bidhaa za mwani pamoja na bidhaa zetu zingine za asili. Faidika na bei maalumu za punguzo kwa wateja wetu wote wa jumla wa virutubisho vyetu vya asili. Uuza na ujipatie kipato wakati huo ukichangia kusogeza huduma bora za afya kwa jamii na wale uwapendao. Ni rahisi, fungua akaunti nasi ili uweze kuwa msambazaji wetu, toa taafira zako kwa kujaza fomu ifuatayo kisha muhudumu wetu atawasiliana nawe na kukupatia mwongozo wa kukamilisha maombi yako.


Nyumba ya bidhaa za asili
WFN Naturals tunajivunia kwa kuwa kampuni inayozalisha na kutoa bidhaa halisi za asili ambazo zina mchango mkubwa kwenye matibabu na ni salama kwa matumizi ya watu wa rika zote. Bidhaa zetu zote ni salama kwa matumizi yanayozingatia viwango vya dozi vinavyoshauriwa na pia zinaandaliwa katika mazingira safi na salama. Ni rahisi sana kukua kibiashara ikiwa bidhaa uliyonayo inaweza kutatua matatizo ya watu na faida zinazoshikika kama zilivyo bidhaa zetu zote.